IJUE ANDROID OS - MTANZANIA FORUM

MTANZANIA FORUM

Karibu katika uwanja wa Technology, Habari,Sanaa na Michezo

CLICK HERE TO DOWNLOAD APP

CLICK HERE TO DOWNLOAD APP
download app yetu ya Tanzaniaforums uwe wa kwanza kupata habari mbalimbali na pia uwe wa kwanza kupata updates kutoka katika app hii

Bofya hapa

IJUE ANDROID OS

IJUE ANDROID OS

Share This


Watu wengi zama hizi wanatumia simu janja, sokoni ushindani mkali uliopo ni kati ya programu endeshi ya iphone[iOS] na android OS, leo tuone android ni nini? Na historia yake.
ANDROID NI NINI?
Android ni programu endeshi inayotumika kwenye simu janja, tabiti[Tablet], saa za kijanja[smart watch] na hata tv pia, mfumo huu ni huru au huria (open source) kwa maana kwamba kama una ujuzi unaweza kuongezea ufundi wako na kuweka sokoni.
Wamiliki na waanzilishi wa mfumo ni ni Google, kwahiyo wao ni wanaotengeneza na kusambaza kwa makampuni tofauti wanaotengeneza simu kama Samsung, LG, Sony, Tecno, Huawei Pixel n.k. Hii haimaanishi kuwa Google ni wasimamizi wa hizo simu, kazi ya Google ni kuunda hiyo programu na kuitoa kwao.
TECNO NA SAMSUNG ZOTE ANDROID KWANINI ZINA MIONEKANO TOFAUTI?
Google wao hutoa toleo lao linafahamika akama AOSP[Android Open Source Project] ambalo kimuonekano haina mambo mengi sana(hilo ndio toleo orijino la android) kama matoleo ambayo yamehaririwa na makampuni na kujaza apps tumizi zao,
AOSP ikishatoka inasambazwa kwenda kwenye makampuni mojawapo tajwa juu wao sasa wanabadilisha muonekano na kuweka wanavyotaka wao ndio zinatokea tofauti na kukuta kama hivi
Samsung=>TouchWiz
Huawei=>Emui
Tecno=>HiOS
Xiaomi=>Miui
Hayo ni moja wapo ya matoleo ya Android yaliyofanyiwa marekebisho na makampuni hayo,ni mengi kutokana na kampuni.
Mpaka hapo umeelewa tofauti iliyopo kwanini simu zote ni Android lakini zina mionekano tofauti?katika makala ijayo tutaona mtiririko wa matoleo yote ya Android hadi kufikia 8[Oreo]

No comments:

Post a Comment

WHATSAPP WAZINDUA APP YA WHATSAPP BUSINESS

Kama unafanya biashara au unasimamia account ya WhatsApp / namba ya simu ya kampuni au taasisi, hii ni mahsusi kwa ajili yako. App hii i...

Bofya hapa

Pages