NJIA ZA KUNUNUA,KUPOKEA MZIGO ULIONUNUA MTANDAONI(Ebay,Alibaba,Amazon) - MTANZANIA FORUM

MTANZANIA FORUM

Karibu katika uwanja wa Technology, Habari,Sanaa na Michezo

CLICK HERE TO DOWNLOAD APP

CLICK HERE TO DOWNLOAD APP
download app yetu ya Tanzaniaforums uwe wa kwanza kupata habari mbalimbali na pia uwe wa kwanza kupata updates kutoka katika app hii

Bofya hapa

NJIA ZA KUNUNUA,KUPOKEA MZIGO ULIONUNUA MTANDAONI(Ebay,Alibaba,Amazon)

NJIA ZA KUNUNUA,KUPOKEA MZIGO ULIONUNUA MTANDAONI(Ebay,Alibaba,Amazon)

Share This


Ndugu zangu wengi tunapenda kufanya manunuzi ya vitu mtandaoni mfano EBay,alibaba na amazon ila je tunapataje vitu vyeti
1:Njia gani salama za kutumia kuletewat mzigo
2:je anuani gani au utambulisho gani natuma ili mzigo ufike kwenye eneo husika
3:je gharama gani nitatoa au kulipia nitakapo pokea mzigo
4:je usalama wa hizo njia mfano posta je endapo mzigo wangu ukaibiwa
5:muda gani uchukua hadi nipate mzigo wangu
6:je posta zetu zinapokea mzigo toka nje na je kuna ufanisi kweli wa usalama na ni mizogo gani,kiwango au uzito
Karibuni tusaidiane
Wauzaji wengi wanaweza kutuma kwenye address za kawaida, Postal Address. Kuna baadhi hasa wa US ndio wanakataa kutuma kwenye postal addresses.
Postal address ni njia salama, hasa ukiwa kwenye ebay, kuna wauzaji wengine wanakupa na tracking codes/numbers, so unaweza kujua mzigo wako umefika wapi.
Gharama za kulipia zinapishana kati ya mzigo na mzigo. Kuna mizigo inayolipiwa kodi, mingine haina kodi kabisa au ushuru kidogo tu wa posta.
Mzigo ukiibiwa posta, posta wanakua responsible. Ila wauzaji wengi on ebay ukiwataarifu kuwa mzigo haujafika, wanakurefund pesa yako, au wanakutimia mwingine.
Muda unaochukua kwa mzigo kufika inategemea na mbinu ya usafirishaji uliyotumia na nchi huo mzigo unatoka, na mkoa au eneo address yako ilipo. Kwa njia expensive kidogo za usafirishaji sawa na EMS, unachukua 3 to 7 days. Kwa the cheapest means na free shipping, inaweza kuchukua week2 mpaka mwezi.
Posta zetu zinapokea mizigo. Good thing wauzaji wanakwambia kabisa kama wanaweza kutuma mzigo nchini kwako ama la. Kama hawawezi au kama ni means iliyopo kutuma mzigo nchini kwako ni expensive wanakwambia pia. Kuna baadhi ya wauzaji waliniambia kwa nchini kwetu wanapenda kutumia DHL au Fedex ambazo ni expensive kidogo, ila za uhakika zaidi.

No comments:

Post a Comment

WHATSAPP WAZINDUA APP YA WHATSAPP BUSINESS

Kama unafanya biashara au unasimamia account ya WhatsApp / namba ya simu ya kampuni au taasisi, hii ni mahsusi kwa ajili yako. App hii i...

Bofya hapa

Pages