Kama unafanya biashara au unasimamia account ya WhatsApp / namba ya simu ya kampuni au taasisi, hii ni mahsusi kwa ajili yako.
App hii inakuwezesha kusajili namba ya simu kuwa 'WhatsApp business account' ambayo inatofautiana kidogo na akaunti ya kawaida na pia inakupa features zinazokurahisishia kwenye mawasiliano na wateja wako.
App ya WhatsApp business inaweza kuwa installed kwenye simu yenye app ya WhatsApp ya kawaida lakini kwa namba ya simu tofauti (business account). Hii ina maana, unaweza kuibadili namba yako ya simu ya sasa ya WhatsApp kuwa business account au ukasajili namba mpya kwa ajili ya WhatsApp business.
App ya WhatsApp Business inapatikana playstore
WhatsApp Business – Applications Android sur Google Play
Ukishainstall, unapitia hatua za kawaida za kuregister namba ya WhatsApp. Kama namba unayotaka kutumia tayari ilikuwa registered kwa WhatsApp ya kawaida itabidi ibadilishwe kuwa business account.
Utatakiwa uweke jina la biashara na profile picture. Jina hili huwezi kulibadilisha hivyo hakikisha hukosei kuliandika.
Katika hatua inayofuata, kama unataka kuibadilisha akaunti yako ya kawaida kuwa business account, unaweza kurecover messages zako kutoka kwenye backup ya WhatsApp kuja kwenye WhatsApp business account. Back up hii inaweza kuwa ya kwenye simu au Google Drive.
Ikishamaliza, utakutana na muonekano kama wa WhatsApp ya kawaida. Hapo uko tayari kutumia WhatsApp business.
Faida za WhatsApp Business:
Inakuwezesha kuweka profile/taarifa za Biashara yako kama location (kwa google maps), maelezo mafupi, aina ya biashara, masaa ya kazi, email na website.
Inakuwezesha kuweka automatic replies za kumjibu mteja. Mfano, unaweza ukaweka ujumbe wa kumkaribisha ambao kila mteja mpya anapokutumia ujumbe kwa mara ya kwanza anajibiwa papo hapo. Pia, unaweza kuweka ujumbe ambao mteja atajibiwa iwapo atakutumia message wakati ambao sio masaa ya kazi au wakati ambapo haupo / hautakuwepo online.
Unaweza kuweka shortcuts za jumbe unazotuma mara kwa mara. Kwa mfano price list yako unaweza ukaiwekea shortcut kwamba kila unapotaka kumtumia mteja unaandika /pl na kisha hiyo price list inatokea.
Inakurahisishia kupangilia wateja wako kwa kutumia Labels, ambapo conversation / ujumbe unaweza ukawekewa Label kama "order mpya", "order zinazoendelea" na kisha ukapata kuona list ya messages na convos zilizowekewa hizo label hivyo kukurahisihia kumtafuta mteja/ujumbe fulani kutokana na Label husika.
Kuanzia sasa huna haja ya kuwa na apps kama "parallel space" na hacks nyingine kama hizo ikiwa unatumia WhatsApp kibiashara na unatumia simu moja. Hii ni njia rahisi na bora zaidi.
Kila unachoweza kufanya kwenye WhatsApp ya kawaida unaweza kukifanya kwenye WhatsApp business pia.
WhatsApp Business App

No comments:
Post a Comment